Youth Camps

Youth CampsAbout Camps

Having worked with young people in churches, high schools, colleges and universities the ministry realised the need to give more time to the training and counselling of young people. In 1993 the ministry started organising youth camps where young people from all denominations come together for a one week seminar/training on the prevailing issues of daily life. During camps Biblical teachings, counselling, family life education, relationships, career development, responsibility and accountability are among the subjects which are discussed and taught during the camp by professionals and competent facilitator from outside and inside of the country who are always invited to minister to these camps. HIV/AIDS and health issues are also discussed during this time.

For many years the ministry has been organising and participating in gospel rallies and outreach campaigns in Tanzania and Africa. With its singing group, the New Life Band has ministered with local and international preachers such as Reinhard Bonnke, Roy Durman, Bishop Rev. George Gichana, Christopher Mwakasege and Bishop Dr. Moses Kulola to mention a few. With our very powerful sound system and big platform we minister and lead in praise and worship sometimes to crowds of 200,000 people. We thank God for his signs of wonders, healing miracles and saving power that many people leave the grounds and go home praising Jesus for setting them free.

GalleryPhotos

TestimonialsTestimonies

Tumeyafurahia sana Masomo tuliyo fundisha na pastor shemeji Pamoja na pastor sosy kwa kambi ya vijana 2018 morogoro.

-Valentine Yonah
NLB Camper

Namshukuru Mungu kwa madhabahu hii ya NLB maana kupitia huduma yenu ya kambi iliyofanyika Monduli Bwana alinifungulia mlango kuelekea kulitimiza lile andiko la sio vema mtu awe peke yake...!! Nawapenda sana, najisikia fahari kuwa sehemu ya familia hii.

- Elizaph Deo
NLB Camper

Mungu awabariki mimi ni ushuhuda nimekuwa mwana kambi wa New life Band kwa miaka 17 sasa maisha yangu yame badilishwa kwa kiwango kibwa sana hakika mmekuwa Baraka sana kupitia ninyi kizazi cha watanzania kimepona naupenda umoja wenu Mungu awatunze

- Nickson P Nditika
NLB Camper

Bless you brother Ondo and the team, U came at Bwiru Boys in Mwanza back in 1997, a lot of boys gave their life to Jesus. Thank God for ev Egon Folk who was so inspirational for he preached in Swahili. I recall the song, Kila unachopanda ndicho utakachovuna, Mungu hadanganyika wala hadhihakiwi. It is ur inspiration which has motivated me such that I am serving Jesus.

-Jackson Kapama
NLB Camper

Mungu ni mwema, huduma hii ilinikutanisha na mpenzi wangu ambaye ni mume wangu sasa pale bomangombe chuo cha ufundi, kusimama imara kiroho mpaka Sasa New life band camps zilinisaidia sana, Mungu awapeleke viwango vingine, nawapenda

-Wilfred Temba
NLB Camper

Niliwaona kwa mara ya kwanza mwaka 1986 (32 years ago!) Mlipokuja OLDMOSHI sec. Mkahudumu kupitia muziki, maigizo, ushuhuda na neno kwa ufupi. Nikiwa ndio kwanza nimeokoka nilitiwa moyo sana. Wakati ule kijana kuokoka halikuwa jambo la kawaida tulibezwa, kudharauliwa, kupingwa sana nk. Kufika kwenu kulisaidia sana kunyamazisha maadui wa injili pale shuleni. Namshukuru Mungu kwa ajili yenu.

-Eliud Sumari
NLB Camper